Wednesday, September 25, 2019

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MTOTO WA MKUU WA MAJESHI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aki mfariji Mkuu wa Majeshi Nchini Jenerali Vennas Mabeyo kutokana na kufiwa na Mtoto wake aliyepatata ajali ya ndege wakati Makamu wa Rais alipofika Nyumbani kwa Jenerali Mabeyo Msasani Jijini Dar es salaam leo sept 25,2019.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aki mfariji Mke wa Mkuu wa Majeshi Nchini bibi Tina Mabeyo kutokana na kufiwa na Mtoto wake aliyepatata ajali ya ndege wakati Makamu wa Rais alipofika Nyumbani kwa Jenerali Mabeyo Msasani Jijini Dar es salaam leo sept 25,2019. .(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aktia saini kitabu cha maombolezo mkufuatia kifo cha mtoto wa Mkuu wa Majeshi Nchini Jenerali Mabeyo kutokana na kufiwa na Mtoto wake aliyepatata ajali ya ndege wakati Makamu wa Rais alipofika Nyumbani kwa Jenerali Mabeyo Msasani Jijini Dar es salaam leo sept 25,2019.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za Mwisho mbele ya Jeneza lenye Mwili wa Nelson Vennas Mabeyo Mtoto wa Mkuu wa Majeshi Nchini Jenerali Vennas Mabeyo aliyefariki kutokana na ajali ya Ndege, Hafla hiyo imefanyika leo Sept 25,2019 nyumbani kwa Jenerali Mabeyo Msasani Jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment