MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA ADFUNGA MAONESHO YA NANENANE MOROGORO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Bidhaa za aina mbalimbali
wakati alipotembelea mabanda ya Maonesho katika kilele cha Maadhimisho
ya Ufungaji wa Sikukuu ya Wakulima Nanenane Mkoani Morogoro leo Agost
08,2019.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kutoka kwa Mtaalam wa
Shamba la Miwa Kilombero Mohamed Salum wakati alipotembelea mabanda ya
Maonesho katika kilele cha Maadhimisho ya Ufungaji wa Sikukuu ya
Wakulima Nanenane Mkoani Morogoro leo Agost 08,2019.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Kombe Mshindi wa Ushiriki
Bora katika Maadhimishi ya sikukuu ya wakulima Nanenane kwa Mwaka 2019
Kanali Aisha Matanzi wa JKT wakati wa Maadhimisho ya Ufungaji wa Sikukuu
ya Wakulima Nanenane Mkoani Morogoro leo Agost 08,2019.(Picha na Ofisi
ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment