MAJALIWA MGENI RASMI SIMBA DAY

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia
mashabiki na wapenzi wa timu ya Soka ya Simba wakati alipoingia kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwa mgeni rasmi katika Simba Day,
Agosti 6, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza
katika Simba Day kwenye uwanja Taifa jijini Dar es salaam, Agosti 6,
2019. Wa tatu kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Dkt. Harrison Mwakyembe, Kulia ni Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji na
kushoto ni Rais wa TFF, Wallece Karia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment