Saturday, August 31, 2019

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU WA JAPAN SHINZO ABE







Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye hoteli ya The New Otani iliyopo Tokyo nchini Japan, Agosti 31, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment