Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipata maelezo kutoka kwa Bibi Ririko Tanabe kuhusu historia ya kampuni
ya Toshiba ya Japan wakati alipotembelea makumbusho ya Sayansi ya
kampuni hiyo, Agosti 27, 2019 . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipata maelezo kutoka kwa Bibi Ririko Tanabe kuhusu redio ya kwanza ya
kucheza santuri iliyotengenezwa na kampuni ya Toshiba kwenye miaka ya
1930, wakati alipotembelea Makumbusho ya Sayansi ya kampuni ya Toshiba
nchini Japan, Agosti 27, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na viongozi wa kiwanda cha kutengeneza mitambo ya kuzalisha
umeme cha Tsurumi kinachomilikiwa na kampuni ya Toshiba nchini Japan
wakati alipotembelea kiwanda hicho, Agosti 27, 2019. Kushoto ni Kaimu
Balozi wa Tanzania nchini Japan, John Kambona. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama chombo muhimu kinaunda mitambo ya kuzalisha umeme wa maji na
gesi (turbine) wakati alipotembelea kiwanda cha kutengeneza mitambo ya
kuzalisha umeme cha Tsurumi kinachomilikiwa na Kampuni ya Toshiba nchini
Japan, Agosti 27, 2019. Wapili kulia ni Meneja Mkuu wa kiwanda hicho,
Shinya Fujitsuka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi na watumishi wa
Makumbusho ya Sayansi ya Kampuni ya kampuni ya Toshiba nchini Japan
baada ya kutembelea makumbusho hiyo, Agosti 27, 2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment