RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AELEKEA NCHINI UINGEREZA KWA SAFARI MAALUM
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, akiondoka
Zanzibar kuelekea Nchini Uingereza kwa safari Maalum, akiwa katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema
Shein, wakisalimiana na Viongozi na Wananchi waliofika Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati akiondoka kuelekea
Nchi Uingereza kwa Safari Maalum
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Wakuu
wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, wakati wa kuondoka Nchini leo
kuelekea Nchini Uingereza kwa Safari Maalum, hafla hiyo imefanyika
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment