RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZINDUA HIFADHHI YA TAIFA YA BURIGI CHATO MKOANI GEITA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Maliasili na
Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla pamoja na viongozi wengine wakivuta
utepe kuashiria uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi (Burigi -Chato
National Park) ilioyopo Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Maliasili na
Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla katika picha ya pamoja na viongozi
mbalimbali, Wakuu wa mikoa, Viongozi wa Vyama vya Siasa, Dini pamoja na
Mabalozi mara baada ya kuzindua Hifadhi ya Taifa ya Burigi (Burigi
-Chato National Park) ilioyopo Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa maeneo
mbalimbali ya Wilaya ya Chato kabla ya kuzindua Hifadhi ya Taifa ya
Burigi (Burigi -Chato National Park) ilioyopo Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa
Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu mara baada ya
kumkabidhi Hundi ya Shilingi milioni kumi , kama shukrani katika mchango
wake alioutoa katika utunzaji wa wa hifadhi mbalimbali ikiwemo Hifadhi
ya Taifa ya Burigi (Burigi -Chato National Park) ilioyopo Chato mkoani
Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wafanyakazi wa
TANAPA wakati akielekea kwenda kuzindua Hifadhi ya Taifa ya Burigi
(Burigi -Chato National Park) ilioyopo Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka mara baada ya kuzindua
Hifadhi ya Taifa ya Burigi (Burigi -Chato National Park) ilioyopo Chato
mkoani Geita.
Wakuu wa Mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Mara
na Simiyu wakijadiliana jambo wakati wa sherehe za uzinduzi wa Hifadhi
ya Taifa ya Burigi (Burigi -Chato National Park) ilioyopo Chato mkoani
Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama wakati Wimbo wa
Taifa ukipigwa kabla ya kuanza kwa sherehe za uzinduzi wa Hifadhi ya
Taifa ya Burigi (Burigi -Chato National Park) ilioyopo Chato mkoani
Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Kikosi cha Jeshi Usu la
kukabiliana na vitendo vya Ujangili pamoja na kulinda hifadhi za taifa
kabla ya kuanza kwa sherehe za uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi
(Burigi -Chato National Park) ilioyopo Chato mkoani Geita.
Kikosi cha Jeshi Usu cha kukabiliana na
Vitendo vya Ujangili pamoja na kulinda hifadhi za Taifa kikipita mbele
ya Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya ukaguzi katika sherehe hizo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Tuzo ya Hifadhi bora ya
Serengeti ambayo imekuwa ya kwanza katika Bara la Afrika kwa mwaka 2019
kutoka kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia sanamu ya Baba wa Taifa
Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere yenye ujumbe maalum kuhusu
umuhimu wa utunzaji wa mazingira ya wanyama pori.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Waziri wa Maliasili na
Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla mara baada ya kumkabidhi Sanamu hiyo ya
Baba wa Taifa. Rais Dkt. Magufuli ametoa maelekezo kuwa Sanamu hiyo
aliyokabidhhiwa ijengewe eneo zuri katika hifadhi hiyo ya Burigi Chato
ili watalii wakija waweze kumjua zaidi Muasisi wa Taifa letu Hayati
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment