Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi
wa Kongwa mara baada ya kuwasili wakati akitokea Chamwino mkoani
Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Kongwa mkoani Dodoma mara baada ya kuwasili wakati akitokea
Chamwino mkoani Dodoma.
Sehemu ya Wananchi wa Kongwa wakisikiliza kwa
makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akiwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi wa
kidini wakati akiondoka katika eneo la Makaburi ya Ukoo wa Ndugai
katika eneo hilo la Kongwa mara baada ya kuweka shada la maua.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika eneo la
Makaburi ya Ukoo wa Ndugai mara baada ya sala fupi iliyofanyika katika
eneo hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua katika
kaburi la Baba mzazi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai katika eneo la Makaburi ya Ukoo wa Ndugai
yaliyopo Chimotolo Kongwa mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment