RAIS DKT.MAGUFULI AAGIZA MKURUGENZI MKUU TPDC KUREJESHWA KAZINI

Rais Magufuli ameagiza Dkt. James
Mataragio arejeshwe katika nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), baada ya kusimamishwa kazi tangu
Agosti 2016.
Agizo hilo amelitoa leo Julai 22, 2019
kupitia taarifa ya Ikulu ambayo imeeleza kuwa Rais, ameitaka Wizara ya
Nishati kumrejesha kazini Mkurugenzi huyo Mkuu wa Shirika la Maendeleo
ya Petroli Tanzania.

No comments:
Post a Comment