NCHI 13 ZILIZOENDELEA KUTOKA AFRIKA NA ASIA ZAMALIZA MAFUNZO YA SIKU SABA JUU YA HAKI ZA MILIKI BUNIFU NA USHAURI KWENYE UCHUMI WA UTANDAWAZI JIJINI DAR ES SALAAM
Mwakilishi wa Mkurugenzi mkuu wa shirika
linaloshughulikia masuala ya Miliki bunifu Duniani (World Intellectual
Property Organisation-WIPO) Bw. Kifle Shenkoru akitoa neno la shukurani
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA
Emmanuel Kakwezi akitoa neno la shukurani kwa washiliki wa mafunzo ya
masuala ya miliki bunifu kutoka nchi kumi na tatu (13)
Afisa Mtendaji Mkuu wa chama cha
Hakimiliki Tanzania Bi. Doreen A. Sinare akitoa neno la shukurani kwa
washiliki wa mafunzo ya masuala ya miliki bunifu kutoka nchi kumi na
tatu (13)
Mshiriki na mjumbe kutoka Uganda,Bwana
Emmanuel Mutungi akitoa neno la shukurani kwa niaba ya washiriki kutoka
nchi kumi na tatu (13)
Mshiriki wa mafunzo ya juu ya haki za
miliki bunifu na ushauri kwenye uchumi wa utandawazi Kutoka Malawi
Tikhale Magombo Chikanda akitoa neno la shukurani.
Washiriki wa mafunzo Washiriki kutoka
nchi kumi na tatu (13) wa mafunzo ya juu ya haki za miliki Bunifu na
ushauri wakifuatilia hitimisho la mafunzo yaliyochukua siku saba.
Mshiriki wa mafunzo ya juu ya haki za
miliki bunifu na ushauri kwenye uchumi wa utandawazi akipokea zawadi
kutoka kwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa BRELA
Mshiriki wa mafunzo ya juu ya haki za
miliki bunifu na ushauri kwenye uchumi wa utandawazi akipokea zawadi
kutoka kwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa BRELA
Mshiriki wa mafunzo ya juu ya haki za
miliki bunifu na ushauri kwenye uchumi wa utandawazi akipokea zawadi
kutoka kwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa BRELA
Kamati ya maandalizi ya mafunzo ya siku
saba ya nchi kumi na tatu (13) zinazoendelea kutoka Afrika na Asia
iliyofanyika Juni 30,2019 hadi Julai 5, 2019 kwenye ukumbi wa Zanzibar
ndani ya Hotel ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam
Washiriki kutoka nchi kumi na tatu (13)
wa mafunzo ya juu ya haki za miliki Bunifu na ushauri Kwenye uchumi wa
utandawazi wakiwa wamemaliza mafunzo hayo ambayo yamechukua siku saba
katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment