Tuesday, July 16, 2019

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI NA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU JIJINI DODOMA LEO 16 JULAI 2019

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea jijini Mwanza ambapo leo tarehe 16 julai 2019 ameendesha Kikao cha Kamati Kuu ya ccm kilichofanyika Makao Makuu ya CCM  katika ukumbi wa halmashauri ya ccm jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya ccm kilichofanyika Makao Makuu ya CCM katika ukumbi wa Halmashauri ya CCM jijini Dodoma (PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment