MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA WAZIRI MKUU NCHINI MISRI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza
na Watanzania waishiyo nchini Egypt, katika hoteli ya Almasa, mjini
Cairo, Julai 9.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea
picha ya Rais Magufuli, iliyochorwa na Binti wa Dereva wa Ubalozi wa
Tanzania nchini Misri, Hadeer Mohamed, kwenye mkutano na Watanzania
waishiyo nchini Egypt, uliyofanyika katika hoteli ya Almasa, mjini
Cairo, Julai 9.2019. Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini Misri, Meja
Jenerali Mstaafu, Issa Suleiman
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza
na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mfereji wa Suez Canal, Admiral Mohab, wakati
alipotembelea mfereji huo mpya nchini Misri, Julai 9.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia
bidhaa ya ngozi, wakati alipotembelea kiwanda kikubwa cha ngozi cha
Robbiki, kilichopo katika mkoa wa Sharkia, nchini Misri, Julai 9.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa kwenye
boti,wakati alipotembelea mfereji wa Suez Canal, katika mji wa
Ismailia, Misri Julai 9.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea
zawadi ya ngao, kutoka kwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mfereji wa Suez
Canal, Admiral Mohab, wakati alipotembelea mfereji huo mpya nchini
Misri, Julai 9.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment