MAREKANI YATETEA KOMBE LA DUNIA WANAWAKE,YAICHAPA 2-0 UHOLANZI

Wachezaji wa Marekani wakipongezana baada
ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Uholanzi, mabao ya Megan Rapinoe dakika ya
61 kwa penalti na Rose Lavelle dakika ya 69 Uwanja wa Groupama,
Decines-Charpieu mjini Lyon, Ufaransa hivyo kutwaa Kombe la Dunia la
Wanawake PICHA ZAIDI SOMA HAPA
No comments:
Post a Comment