Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Nchini Niger
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Waziri Mkuu wa Niger Mhe. Brigi Rafini alipowasili kwenye
Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Diori Hamani, Niamey Nchini Niger.
Makamu wa Rais anamuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye
mkutano wa 12 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika
wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali kuhusu Eneo Huru la Biashara
Afrika(African Continental Free Trade Area-AfCFTA) (Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
-

No comments:
Post a Comment