MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KILICHOANDALIWA NA RAIS WA NIGER
Makamu wa Rais wa Jamhutri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Rais
Emmason Nangagwa wa Zimbabe walipokuta kwenye Hafla ya Chakula cha Jioni
kilichoandaliwa na Rais Mahamadou Issoufour wa Niger, kwenye mkutano wa
12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)uliojadili
kuhusu Eneo Huru la Biashara Afrika AfCFTA uliofanyika mjini Niamey
Nchini Niger.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Gabriel Antonio
Tshekedi wa Congo walipokuta kwenye Hafla ya Chakula cha Jioni
kilichoandaliwa na Rais Mahamadou Issoufour wa Niger, kwenye mkutano wa
12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)uliojadili kuhusu
Eneo Huru la Biashara Afrika AfCFTA uliofanyika mjini Niamey Nchini
Niger.
Makamu wa Rais wa Jamhutri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na
Ujumbe wa Tanzania aliouongoza kushiriki mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi
na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)uliojadili kuhusu Eneo Huru la
Biashara Afrika AfCFTA uliofanyika mjini Niamey Nchini Niger, kwenye
mkutano huo Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Pombe
Magufuli. (Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment