MAJALIWA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CCM WA KATA ZA WILAYA YA RUANGWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza
na viongozi wa CCM na Jumuiya zake wa Kata za wilaya ya Ruangwa kwenye
ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya ya Ruangwa, Julai 29, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa
zawadi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ambayo ni picha ya Rais
iliyochorwa na Mwalimu Elisha Simon wa Ruangwa (kulia), wakati
alipozungumza na viongozi wa CCM na Jumuiya zake wa kata za wilaya hiyo,
kwenye ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya ya Ruangwa, Julai 29, 2019.

Viongozi wa CCM na Jumuiya zake wa kata
za wilaya ya Ruangwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya ya Ruangwa,
Julai 29, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa
zawadi ya picha yake iliyochorwa na Mwalimu Elisha Simon wa Ruangwa
(kulia) wakati alipozungumza na viongozi wa CCM na Jumuiya zake wa kata
za wilaya ya Ruangwa, kwenye ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya ya
Ruangwa, Julai 29, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana
na viongozi wa CCM wa wilaya ya Ruangwa wakati alipowasili kwenye
ukumbi wa CCM wa wilaya hiyo kuzungumza na viongozi wa CCM na Jumuiya
zake wa kata za wilaya hiyo, Julai 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment