MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA BIBI SALMA KALENJE WILAYANI RUANGWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza
na wazee wakati aliposhiriki katika mazishi ya Bibi Salima Yusuf Kalanje
kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Julai 29, 2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka
udongo kaburini wakati aliposhirika katika mazishi ya Bibi Salima Yusuf
Kalanje kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Julai 29, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akishirikiana na waombolezaji kubebe jeneza katika mazishi ya Bibi
Salima Yusuf Kalanje yaliyofanyika kwenye kijiji cha Nandagala wilayani
Ruangwa Julai 29, 2019. Wapili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa,
Hashim Mgandilwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment