AS VITA KUKIPIGA NA YANGA KILELE CHA SIKU YA WANANCHI
Klabu ya AS Vita ya DR Congo imealikwa
kucheza na Yanga siku ya utambulisho wa kikosi cha timu hiyo ambayo ni
siku ya kilele cha wiki ya Mwananchi.
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema mchezo huo utapigwa Agosti 4, 2019 katika Uwanja wa Taifa.
Awali Yanga ilipanga kufanya tukio hilo
Julai 27, hata hivyo kutokana na muingiliano wa ratiba na timu ya Taifa,
sasa litafanyika Agosti 4, 2019.
No comments:
Post a Comment