RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA ASKOFU DKT. JOSEPHAT GWAJIMA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Askofu Mkuu wa
Kanisa la Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima mara baada ya kuwasili
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Askofu
Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima
aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika
picha ni Naibu Waziri Ofisi wa Waziri Mkuu Kazi, Vijana Ajira Anthony
Mavunde wakwanza kutoka kushoto. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment