RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KUWAPONGEZA WABUNIFU WA UMEME WA MAJI KUTOKA MKOANI NJOMBE. IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli akijiandaa kuwakabidhi kifuta jasho cha shilingi
milioni 5 wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane
Mwafute(Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita kuwapongeza na
kuongea nao pamoja na Mkurugenzi Mkuu na Waandaji wa Kipindi cha
Hadubini TBC, Makatibu wakuu wa Wizara ya Nishat, Elimu Sayansi na
teknolojia, Viwanda na Biashara, Mkurugenzi Mkuu na wataalamu kutoka
TANESCO,Kamishna wa Umeme na Mkurugenzi Mkuu na Wataalamu wa COSTECH
Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli akiwakabidhi kifuta jasho cha shilingi milioni 5
wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee
Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita kuwapongeza na kuongea nao pamoja
na Mkurugenzi Mkuu na Waandaji wa Kipindi cha Hadubini TBC, Makatibu
wakuu wa Wizara ya Nishat, Elimu Sayansi na teknolojia, Viwanda na
Biashara, Mkurugenzi Mkuu na wataalamu kutoka TANESCO,Kamishna wa Umeme
na Mkurugenzi Mkuu na Wataalamu wa COSTECH Ikulu jijini Dar es salaam
Juni 13, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli akiwasindikiza baada ya kuwakabidhi kifuta jasho
cha shilingi milioni 5 kuwakabidhi wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka
Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo
aliowaita kuwapongeza na kuongea nao pamoja na Mkurugenzi Mkuu na
Waandaji wa Kipindi cha Hadubini TBC, Makatibu wakuu wa Wizara ya
Nishat, Elimu Sayansi na teknolojia, Viwanda na Biashara, Mkurugenzi
Mkuu na wataalamu kutoka TANESCO, Kamishna wa Umeme na Mkurugenzi Mkuu
na Wataalamu wa COSTECH Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu na wabunifu wa
Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute
(Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo pamoja na Mkurugenzi Mkuu
na Waandaji wa Kipindi cha Hadubini TBC, Makatibu wakuu wa
Wizara ya Nishat, Elimu Sayansi na teknolojia, Viwanda na
Biashara, Mkurugenzi Mkuu na wataalamu kutoka TANESCO,
Kamishna wa Umeme na Mkurugenzi Mkuu na Wataalamu wa
COSTECH Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli akiwapongeza wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka
Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo
aliowaita Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13,2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwapongeza wabunifu
wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na
Bw. Jailosi Ngairo aliowaita Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli akifurahi na wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka
Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo
aliowaita Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019
Mbunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe
Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) aliyepongezwa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli mara baada ya kuwapongeza
na mwenzake Bw. Jailosi Ngairo aliowaita Ikulu jijini Dar es salaam Juni
13, 2019
Mbunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe
Bw. Jailosi Ngairo aliyepongezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli mara baada ya kuwapongeza na mwenzake
Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) aliowaita Ikulu jijini Dar es salaam
Juni 13, 2019
Mtangazaji wa Shirika la
utangazajinTanzania TBC Tatu Abdalah kutoka Njombe akifuatilia kwa
umakini tukio la kuwaponeza wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw.
John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na mwenzake Bw. Jailosi Ngairo
waliopongezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment