NAIBU WAZIRI JULIANA SHONZA AWAASA VIJANA VISIWANI ZANZIBAR KUTHAMINI VIPAJI VYAO
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/06/PIX-1-1-1024x683.jpg)
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akisalimiana na
wachezaji wa timu ya Miembeni kabla ya kuanza kwa mchezo wa
Nusu Fainali ya Kombe la Masauni/Jazeera uliofanyika katika
Viwanja vya Tumbaku, Visiwani Zanzibar.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/06/PIX-2-1-1024x683.jpg)
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akisalimiana na wachezaji
wa timu ya Kundemba, kabla ya kuanza kwa mchezo wa Nusu Fainali ya
Kombe la Masauni/Jazeera uliofanyika katika Viwanja vya Tumbaku,
Visiwani
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/06/PIX-3-1-1024x683.jpg)
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi
Hamad Masauni, akizungumza kabla ya kuanza mchezo wa Nusu Fainali wa
Mashindano ya Masauni/Jazeera uliofanyika katika Viwanja vya Tumbaku,
Visiwani Zanzibar. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/06/PIX-4-1-1024x683.jpg)
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akizungumza
kabla ya kuanza mchezo wa Nusu Fainali wa Mashindano ya
Masauni/Jazeera uliofanyika katika Viwanja vya Tumbaku, Visiwani
Zanzibar. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad
Masauni.Picha na Mpigapicha Wetu
No comments:
Post a Comment