MATUKIO KATIKA PICHA YA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza
na Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere,
Joseph Butiku kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Juni 12, 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya Walimu na Maafisa Elimu wa jiji la Mbeya
pamoja na baadhi ya wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Juni
12, 2019. Walimu na Maafisa Elimu hao walikwenda Bungeni kwa mwaliko wa
Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (kulia kwa Waziri Mkuu) ili
kujifunza.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia
Walimu na Maafisa Elimu kutoka jiji la Mbeya kwenye ukumbi wa Msekwa,
Bungeni jijini Dodoma Juni 12, 2019. Kulia ni mwenyeji wa walimu hao,
Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana
na viongozi na washiriki wa Mashindano ya Miss TANZANITE Dodoma kwenye
viwanja vya Bunge , Juni 12, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika
picha ya pamoja na viongozi na washiriki wa Mashindano ya Miss
TANZANITE Dodoma kwenye viwanja vya Bunge , Juni 12, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza
na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Peace House ya jijini Arusha
kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 12, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika
picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Peace House ya
jijini Arusha kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 12, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Babati Vijijini, Vrajilal Jituson, Bungeni jijini Dodoma, Juni 12, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza
na Mbunge wa Dodoma Mjini na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi
Vijana na Ajira, Anthony Mavunde, Bungeni jijini Dodoma Juni 12, 2019.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(UWEKEZAJI), Angela Kairuki (kushoto) akizungumza na Mbunge wa
Kuteuliwa, Anne Kilango, Bungeni jijini Dodoma, Juni 12, 2019. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment