Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika wa Bunge la
Rwanda, Mheshimiwa Donatile Mukabalisa kabla ya mazungumzo yao, ofisini
kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Juni 11.2019. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge la
Rwanda, Mheshimiwa Donatile Mukabalisa, ofisini kwa Waziri Mkuu,
Bungeni jijini Dodoma, Juni 11.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment