Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akigonganisha glasi ya mvinyo laini na
Rais wa Namibia Mh. Dr. Hage Geingob (kushoto) Ikulu jijini Windhoek
usiku wa Jumatatu May 27, 2019.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Paramagamba Kabudi kushoto na
Waziri wa Kilimo na Chakula Mh. Japhet Hasunga pamoja na Waziri wa
Mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga Mpina pamoja na maofisa wengine wa serikali
ya Tanzania wakigonganisha glasi katika Dhifa iliyoadaliwa kwa ajili ya
kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na RAis Mstaafu wa
Awamu ya Pili ya Jamhuri ya Namibia Mhe. Hifikepunye Pohamba wakati wa
dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dr. Hage
Geingob (kushoto) Ikulu jijini Windhoek usiku wa Jumatatu May 27,
2019. Wa pili kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya kwanza wa Nchi hiyo
Mhe. Sam Nujoma na Kulia na Makamu MWenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip
Mangula
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na RAis Mstaafu wa
Awamu ya Pili ya Jamhuri ya Namibia Mhe. Hifikepunye Pohamba wakati wa
dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dr. Hage
Geingob (kushoto) Ikulu jijini Windhoek usiku wa Jumatatu May 27,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa
Namibia Mhe. Sam Nujoma wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na
mwenyeji wake Rais wa Namibia Dr. Hage Geingob Ikulu jijini Windhoek
usiku wa Jumatatu May 27, 2019
No comments:
Post a Comment