Tuesday, May 28, 2019

RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS EMMERSON MNANGAGWA WA ZIMBWABWE MARA BAADA YA KUWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ROBERTH MUGABE PAMOJA NA DHIFA YA KITAIFA ILIYOFANYIKA IKULU JIJINI HARARE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa alipokuwa akisalimiana na Kaimu Balozi wa Zimbabwe Nchini Tanzania Martin Tavenyika mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Robeth Mugabe Jijini Harare Nchini Zimbwabwe. Mei 28, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua paredi maalumu lililoandaliwa na Jeshi la Zimbwabwe  mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Robeth Mugabe Jijini Harare Nchini Zimbwabwe. Mei 28, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa wakitazama kikundi cha ngoma  mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Robeth Mugabe Jijini Harare Nchini Zimbwabwe. Mei 28, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa pamoja Mke wa Rais wa Zimbwabwe Amai Mnangagwa kabla ya kuanza mazungumzo katika Ikulu ya Harare Zimbabwe. Mei 28, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa Mnangagwa kabla ya kuanza mazungumzo katika Ikulu ya Harare Zimbabwe. Mei 28, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa, Mke wa Rais wa Zimbwabwe  Mhe. Amai Mnangagwa(Wapili kutoka kulia),Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania Profesa Palamagamba Kabudi (Wapili kutoka kushoto),Waziri wa Mambo ya nje wa Zimbabwe Mhe.Sibusiso Moyo(Wakwanza kulia) pamoja na Mkuu wa Itifaki wa Tanzania  Balozi Grace Martin kabla ya kuanza mazungumzo katika Ikulu ya Harare Zimbabwe. Mei 28, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya picha Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa inayoonyesha baadhi ya Wanyama waliopo katika Hifadhi mbalimbali za Wanyama Tanzania pamoja kabla ya kuanza mazungumzo katika Ikulu ya Harare Zimbabwe. Mei 28, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akigonga glasi na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa wakati wa Dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais wa Zimbwabwe Ikulu ya Harare  nchini Zimbabwe. Mei 28, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa kwa Dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa Ikulu ya Harare  nchini Zimbabwe. Mei 28, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa Dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa Ikulu ya Harare  nchini Zimbabwe. Mei 28, 2019.

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment