Wednesday, November 21, 2018

CCM YAVURUGA KAMBI YA UPINZANI ULANGA-MOROGORO

Diwani kata ya Msogenzi, Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya Ulanga,  Katibu mwenezi CHADEMA wilaya ya Ulanga, Katibu mwenezi CUF wilaya ya Ulanga,  Mgombea  ubunge 2015 ACT wazalendo jimbo la Ulanga, mwenyekiti BAWACHA wilaya ya Ulanga,  wenyeviti wa vijiji na wanachama wengine 60 wamejiunga na CCM  leo 21, 2018 wamepokelewa na Mjumbe wa  NEC Hassan Bantu akiwa pamoja na katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Shaka Hamdu Shaka.

Kaziinaendelea 
Operationsafishaupizanimoro

No comments:

Post a Comment