Monday, September 24, 2018

BOMBOKO AKUTANA NA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CHIPUKIZI TAIFA

Mkuu wa Idara Hamasa na Chipukizi Ndug Hassan Bomboko amekutana na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa Ndugu Gabriel Amos Makala Makao Makuu UVCCM TAIFA

Comrade Makala amemshauri Mkuu wa idara kuhakikisha anahuisha Uhai wa Chipukizi Nchi nzima na kurejesha Matumain ya Chipukizi ndani ya Jumuiya ya Vijana

No comments:

Post a Comment