WAFANYABIASHARA SOKO LA MAGOMENI WASINYANYASWE-JAFO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo akiwa ameshika orodha ya
wafanyabiashara wa soko la Magomeni akisisitiza wapewe kipaumbele baada ya soko
kukamilika.
No comments:
Post a Comment