Waziri Mkuu, Kassim.Majaliwa akikabidhi pikipiki mbili
kwa Kamanda Mkoa wa Lindi, ACP. Pudensiana Protas, zilizotolewa na kampuni ya
WU ZHOU Investment Company kwa Jeshi la Polisi, wakati alipo tembelea kituo hicho jana, Machi 4,
2018 , Wilayani Ruangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment