Friday, March 9, 2018

BI HARRIET MADUHU AZINDUA DUKA LA HUDUMA KWA WATEJA AIRTEL-KIGAMBONI DSM

Mwenyekiti wa Mtaa wa Feri Kigamboni, Juma Mwingamno (katikati), akikata utepe wakati wa uzinduzi wa duka la Huduma kwa Wateja la Airtel Dar es Salaam leo 9 Machi 2018, kulia (Mwenye fulana nyekundu) ni Meneja wa Aitel Kigamboni Gerald Msafiri na meneja wa duka hilo Harriet Maduhu (kshoto). PICHA NA IMANI NATHANIEL
Mwenyekiti wa Mtaa wa Feri Kigamboni, Juma Mwingamno (katikati), akipokea zawadi kutoka kwa Meneja wa Airtel  wa Kigamboni, Gerald Msafiri(kulia), na meneja wa duka la Airtel Kigamboni, Harriet Maduhu baada ya kuzidua duka hilo Kigambon Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment