Sunday, November 5, 2017

WANANCHI SIMIYU WAENDELEA NA USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA

WhatsApp Image 2017-10-31 at 19.26.25
Maafisa Usajili wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) wakiwachukua alama za Kibaiolojia wananchi wa mkoa wa Simiyu Kijiji cha Mwakiboro wakati zoezi la Usajili likiendelea
WhatsApp Image 2017-10-31 at 19.26.27
Wananchi wa Kijiji cha Mwakiboro mkoani Simiyu wakisubiri kupatiwa huduma ya Uandikishwaji Vitambulisho vya Taifa.
WhatsApp Image 2017-11-01 at 04.30.18
Zoezi la Usajili likiendelea katika Kijiji cha Kilulu wilayani Bariadi
WhatsApp Image 2017-11-01 at 04.30.19(1)
Wananchi wa Kijiji cha Mwakiboro mkoani Simiyu wakisubiri kupatiwa huduma ya Uandikishwaji Vitambulisho vya Taifa.
……………………………………………………………………
Mkoa wa Simiyu ni miongoni mwa mikao 12 ya Tanzania inayoendelea na zeozi la kuwasajili wananchi kwa lengo la kuwapatia Vitambulisho vya Taifa.

Kwa sasa zoezi hilo limeingia kwenye awamu ya pili ya Usajili katika wilaya zote za mkoa huo ambazo ni Bariadi, Meatu, Busega, Maswa na Itilima huku mwitikio wa watu ukiwa mkubwa.

wanaoshiriki kwenye zoezi hilo ni wananchi wote wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, wageni na Wakimbizi.

No comments:

Post a Comment