Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (kulia), akisalimiana na Kaimu
Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Hassan Mwangombe,
wakati alipofanya ziara kwenye shirika hilo, na kuongea na wafanyakazi,
jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya TPC, Dk.
Haruni Kondo na Mjumbe wa bodi ya shirika hilo, Bi. Khadija Shaaban.
Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (kulia), akisalimiana na Mjumbe
wa bodi ya shirika hilo, Bi. Khadija Shaaban.
Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (kulia), akisalimiana na
Mwenyekiti wa Bodi ya TPC, Dk. Haruni Kondo.
Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (kulia), akimsikiliza Mwenyekiti
wa Bodi ya TPC, Dk. Haruni Kondo mara baada ya kusalimiana naye katika
ziara yake kwenye shirika hilo, jijini leo.
Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (kulia), akimsikiliza Mwenyekiti
wa Bodi ya TPC, Dk. Haruni Kondo (kushoto), mara baada ya kutembelea
Ofisi ya Kaimu Postamasta Mkuu, Hassan Mwangombe (katikati), katika
ziara hiyo, jijini leo.
Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (wa pili kulia), akimsikiliza
Kaimu Postamasta Mkuu wa TPC, Hassan Mwangombe, wakati akimpatia maelezo
kuhusu shirika hilo, katika ziara hiyo, jijini Dar es Salaam leo.
Kaimu
Postamasta Mkuu, Hassan Mwangombe (mbele), akimkaguza Naibu Waziri wa
Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
Mhandisi Atashasta Nditiye, mabasi mapya ya usafirishaji abiria na
vifurushi.
Kaimu
Postamasta Mkuu, Hassan Mwangombe (kushoto), akimweleza jambo Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, wakati akimkaguza mabasi mapya
ya usafirishaji abiria na vifurushi.
Kaimu
Postamasta Mkuu, Hassan Mwangombe (kushoto), akimpatia maelezo Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (katikati), kuhusu vifurushi
vinavyotumwa na kupokelewa kutoka nje ya nchi.
Kaimu
Postamasta Mkuu, Hassan Mwangombe (kushoto), akimpatia maelezo Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (katikati), kuhusu ukaguzi wa
vifurushi vinavyotumwa na kupokelewa kutoka nje ya nchi, alipofika
kitengo cha Mamlaka ya Mapato (Forodha) Posta Kuu jijini Dar es
Salaam.
Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (katikati), akipatiwa maelezo na
mmoja wa wakaguzi wa vifurushi vinavyotumwa nje ya nchi, alipofika
kitengo cha kuhudumia vifurushi, Posta Kuu jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (mbele), akipatiwa maelezo na
mmoja wa wahudumu wa Kitengo cha Jamii Centre, Veronica Nyindi,
alipotembelea Posta Kuu jijini Dar es Salaam katika ziara hiyo leo.
Mmoja
wa wateja wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Dk. Louis Shika,
akizungumza na waandishi wa habari kuhusu huduma za shirika, alipokutwa
na waandishi katika ziara ya Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta
Nditiye.
Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, akielezwa jambo na Meneja wa
Posta Mkoa wa Dar es Salaam, Margreth Mlyomi alipotembelea Posta Kuu
jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, akipatiwa maelezo na mmoja wa
wafanyakazi wa Posta Kuu, Kitengo cha EMS, Sanjile Mbano (kulia),
alipofika kwenye kitengo hicho, katika ziara hiyo, jijini Dar es Salaam
leo.
Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (katikati), akipatiwa maelezo na
Meneja wa Idara ya EMS, John Tinga.
Mwenyekiti wa Bodi ya TPC, Dk. Haruni Kondo, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara hiyo.
Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, akizungumza na waandishi wa
habari katika ziara hiyo.
Kaimu Postamasta Mkuu, Hassan Mwangombe, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara hiyo.
Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, akizungumza na wafanyakazi wa
Posta Makao Makuu na wa Mkoa wa Dar es Salaam alipokutana nao katika
ziara hiyo.
Mmoja
wa wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Makao Makuu, David
Hango, akimuuliza swali Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye
katika mkutano huo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TEWUTA-TPC),
Makao Makuu, Ahmed Kaumu, akimuuliza swali Naibu Waziri wa Uchukuzi na
Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi
Atashasta Nditiye katika mkutano huo.
Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, akijibu maswali yaliyoulizwa na
wafanyakazi wa Shirika la Posta Makao Makuu na wa Mkoa wa Dar es Salaam
katika mkutano huo.
Kaimu
Postamasta Mkuu, Hassan Mwangombe, akizungumza wakati akimshukuru Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye baada ya kuzungumza na
wafanyakazi hayo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TEWUTA-TPC),
Makao Makuu, Ahmed Kaumu, akimshukuru Naibu Waziri wa Uchukuzi na
Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi
Atashasta Nditiye katika mkutano huo.
Mjumbe
wa bodi ya Shirika la Posta, Bi. Khadija Shaaban, akimweleza jambo
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, wakati akiagana naye katika
ziara hiyo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya TPC, Dk. Haruni Kondo.
No comments:
Post a Comment