Jokate Mwegelo amekata kuweka wazi kati yake na Alikiba nani hasa alimbwaga mwenzake katika mahusiano yao.
Katika mahojiano na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio
aliulizwa; ‘wewe ulimwaacha Alikiba au Alikiba alikuacha wewe’, na jibu
la Mwanamitindo hiyo likawa; ‘siwezi kujibu’.
Katika hatua nyingine amezungumzia suala la kuonekana zaidi katika siasa na mipango yake ya kazi katika brand yake ya Kidoti.
“Actually tupo kwenye process ya kufanya rebrand ya kidoti kwa hiyo
very soon mtaweza kushuhudi bidhaa zetu zikiingia sokoni, kuna model
mbali mbali kama unakumbuka miezi kadhaa nilifanya usahili wa warembo
wapya ambao tutawatumia kwenye bidha zetu pia kuna bidhaa mpya” amesema.
Bongo5
No comments:
Post a Comment