Mtoto ambaye anatatizo la mdomo sungura akisubilia kwenda kufanyiwa matibabu Jijini Mwanza wakati wa hafla ya kuwaaga. |
Mratibu wa kitengo cha afya Mgodini GGM Dkt.Kiva Mvungi akisisitiza jamii kutokuwa na dhana ya kuwatenga na kuwanyanyapaa watoto ambao wanakuwa na matatizo ya midomo sungura. |
Meneja mahusiano kwa jamii wa Mgodi wa GGM Bw.Manase Ndoroma akielezea namna ambavyo wameendelea kuendesha zoezi la kutoa msaada wa matibabu kwa watoto wenye tatizo la mdomo sungura tangu mwaka 2004. |
Mkurugenzi mkuu wa Mgodi wa GGM Richard Jordinson,akielezea juu ya gharama ambazo wametumia hadi sasa tangu walipoanza mpango wa matibabu kwa watoto ambao wanamidomo sungura. |
Mkuu wa Wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi akiwapa maneno ya faraja wakati alipokuwa akiwaaga watoto pamoja na wazazi ambao wanatarajia kwenda mwanza kwaajili ya matibabu. |
Mkurugenzi mkuu wa Mgodi wa GGM Richard Jordinson na Mratibu wa kitengo cha afya Mgodini GGM Dkt.Kiva Mvungi wakimsikiliza mkuu wa Wilaya. |
Watoto wenye tatizo la midomo sungura wakiwa na mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi Mkuu wa mgodi wa GGM kwenye picha ya pamoja. |
No comments:
Post a Comment