Wateja wa DStv wamepata nafasi ya
kushuhudia Tuzo kubwa Afrika zinazotoa heshima na kutambua mchango wa
wasanii kutoka Afrika, kimataifa.
Ni Tuzo za AFRIMA (The All Africa
Union Music Award channel) ambazo zinatarajiwa kufanyika Jumapili hii
na DStv imekuletea chaneli maalum kwa ajili ya kuonyesha matukio yote
muhimu na utoaji wa Tuzo hizi.
Chaneli hii imeanza kuanekana
kuanzia Novemba 9 na inapatikana kwa wateja wote wa DStv kupitia namba
198 iliyopo kuanzia kifurushi Bomba cha sh.19,000 tu. Kwa kipindi cha
siku tatu mfululizo, wateja wa DStv watafurahia burudani kadha wa kadha
kutoka kwa wasanii waliochaguliwa kwenye Tuzo hizi ikiwemo matamasha
mbali mbali ya ndani na nje ya Bara la Afrika kutoka kwa wasanii hawa.
Ni wakati wa watanzania
kushuhudia wasanii wetu wakipokea Tuzo zao za kimataifa LIVE kupitia
DStv pekee, Lipia Kifurushi chako cha DStv sasa kuanzia kifurushi Bomba
kwa sh.19,000, ili usipitwe na Tuzo hizi.
Majina ya wasanii kutoka Tanzania na vipengele walivyochaguliwa ni:
Best Female Artist in Eastern Africa
Lady Jaydee – Sawa na Wao
Nandy- One Day
Feza Kessy – Walete
Vanessa Mdee- Cash Madame
Best Male Artist in Eastern Africa
Ali Kiba – Aje
Diamond Platnumz – Eneka
African Fans Favorite
Darassa- Muziki
Best African Collaboration
Ali Kiba ft. MI – Aje
Best Artiste/ Group in African Contemporary
Ali Kiba ft. MI – Aje
Best Artist in African Pop
Diamond Platnumz- Eneka
Best Artist / Group in African R n B & Soul
Ali Kiba – Aje
No comments:
Post a Comment