Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
(Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Jenista Mhagama akipata
maelezo kutoka kwa Mratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Jane Alfred,
namna mtambo unavyosaidia kupatikana kwa taarifa za dharura kwa ajili ya
kufuatilia maafa nchini, leo tarehe 17 Oktoba, 2017, Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
(Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Jenista Mhagama akiangalia
mitambo inayotumikakutunza takwimu za taarifa za dharura kwa ajili ya
kufuatilia maafa nchini, leo tarehe 17 Oktoba, 2017, Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
(Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Jenista Mhagama akipata
maelezo kutoka kwa Mchabuzi wa Mifumo ya Kompyuta Ofisi ya Waziri Mkuu,
Alex Ndimbo, namna taarifa zinavyochakatwa na kupatikana kwa taarifa
za dharura kwa ajili ya kufuatilia maafa nchini, leo tarehe 17 Oktoba,
2017, Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa
Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig. Jen. Mbazi Msuya akieleza umuhimu wa mpango
wa uendeshwaji wa kituo Cha Operasheni na Mawasiliano ya Dharura kwa
ajili ya kufuatilia maafa nchini kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu, (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Jenista Mhagama, leo
tarehe 17 Oktoba, 2017, Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa
nchini Dkt. Agnes Kijazi akimueleza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
(Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Jenista Mhagama,jinsi Mradi
wa Uboreshaji wa Mifumo ya Tahadhari za Awali na Mabadiliko ya
Tabianchi ulivyoboresha utabiri wa hali ya hewa nchini, alipotembelea
mamlaka hiyo, leo tarehe 17 Oktoba, 2017, Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
(Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (walio kaa
katikati) akiwa na Menejimenti ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini mara
baada ya kutembelea mamlaka hiyo kwa ajili ya kuona jinsi Mradi wa
Uboreshaji wa Mifumo ya Tahadhari za Awali na Mabadiliko ya Tabianchi
ulivyoboresha utabiri wa hali ya hewa nchini, , leo tarehe 17 Oktoba,
2017, Dar es Salaam. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment