Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bibi Dorothy Mwanyika (Kushoto)
akipokelewa na baadhi ya viongozi wa Wizara ya Ardhi mara baada ya
kuapishwa na kuwasili katika ofisi zilizopo kanda ya Dar es salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bibi Dorothy Mwanyika (Kulia) akipokelewa
na baadhi ya watumishi wa Wizara ya Ardhi mara baada ya kuapishwa na
kuwasili katika ofisi zilizopo kanda ya Dar es salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara
ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakimpokea kwa shangwe Katibu
Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bibi Dorothy
Mwanyika baada ya kuwasili katika ofisi za Wizara ya Ardhi zilizopo
kanda ya Dar es salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bibi Dorothy Mwanyika (Kulia) akiwa na
Naibu Katibu Mkuu Dkt. Moses M. Kusiluka wakati akiongea jinsi
alivyojipanga kufanya kazi na watumishi wa Wizara ya Ardhi mara baada ya
kuapishwa na kuwasili katika ofisi zilizopo kanda ya Dar es salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara
ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakimsikiliza kwa makini Katibu
Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bibi Dorothy
Mwanyika wakati akiongea nao baada ya kuapishwa na kuwasili katika ofisi
za Wizara ya Ardhi zilizopo kanda ya Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment