Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon
Sirro, akimsalimiana na viongozi waandamizi na maofisa wa Jeshi hilo
alipowasili Ikwiriri Mkoani Pwani kwa lengo la kuzungumza na wazee na
wananchi wa Wilayay zote mbili za Ikwiriri na Kibiti.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon
Sirro, akiteta jambo na Mkuu wa operesheni maalum za Jeshi hilo, DCP
Liberatus Sabas alipowasili Ikwiriri mkoani Pwani kwa lengo la
kuzungumza na wazee na wananchi wa Wilayay zote mbili za Ikwiriri na
Kibiti. Kulia ni Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai, DCI Robert
Boaz

Baadhi
ya milipuko 16, Visu 96 na mbolea ya chumvi inayotumika katika
kuchanganyia milipuko ikiwa imekamatwa Mkoa wa Mtwara kufuatia
operesheni zinazoendelea za jeshi la Polisi.
Picha na Jeshi la Polisi
No comments:
Post a Comment