Sunday, September 24, 2017

SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO YA KODI SHULE BINAFSI

Mabalozi wa Nordic Foundation Tanzania Hilary Daudi’ Zembwela’ na Najma Abdallah wakiendesha kampeni ya Afyabando kuwapata washindi 10 watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya zenye thamani ya shilingi milioni 1.5 kwa ajili ya matibabu pamoja na familia. Mchezo huo umechezeshwa jijini Dar es Salaam leo Septemba 24. 2017. 
Mabalozi wa Nordic Foundation Tanzania Hilary Daudi’ Zembwela’ na Najma Abdallah wakiwa na Mkaguzi kutoka Bodi ya Taifa ya Michezo ya kubahatisha, Bakari Maggid aliyesimamia zoezi la kuendesha kampeni ya Afyabando kuwapata washindi 10 watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya zenye thamani ya shilingi milioni 1.5 kwa ajili ya matibabu pamoja na familia. Mchezo huo umechezeshwa jijini Dar es Salaam leo Septemba 24 2017.
Balozi wa Nordic Foundation Tanzania, Najma Abdallah akiwasiliana na Mwalimu wa Shule ya Msingi iliyopo Songwe Mkoani Mbeya, Hassan Mwamburi baada ya kuibuka mmoja wa washindi 10 katika droo ya Pili ya kampeni ya Afyabando iliyofanyika jijini humo leo. Washindi watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya zenye thamani ya shilingi milioni 1.5 kwa ajili ya matibabu pamoja na familia.
Balozi wa Nordic Foundation Tanzania Najma Abdallah akiwasiliana na Diana Peter Mkazi wa Morogoro baada ya kuibuka mmoja wa washindi 10 watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya zenye thamani ya shilingi milioni 1.5 kwa ajili ya matibabu pamoja na familia, katika droo ya kwanza ya Afyabando mchezo uliochezeshwa jijini Dar es Salaam leo Septemba 24 2017
Mabalozi wa Nordic Foundation Tanzania, Hilary Daudi’ Zembwela’ na Najma Abdallah wakiendesha Bahati nasibu ya Afyabando ya pili ambapo washindi 10 watapatiwa kadi za bima za afya zenye thamani ya shilingi milioni moja na nusu baada ya kushiriki mchezo huo kwa shilingi 500 tu. Mchezo huo umechezeshwa jijini Dar es Salaam leo Septemba 24 2017. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogspot)

No comments:

Post a Comment