Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa(Mb) akisalimiana na Kamishna Jenerali wa
Magereza, Dkt. Juma Malewa alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua
maandalizi ya kufufua Kiwanda cha Sukari na Kilimo cha miwa katika
Gereza la Mbigiri Mkoani Morogoro Septemba 2, 2017. Jeshi la Magereza
kwa kushirikiana na Mifuko ya Jamii ya PPF na NSSF limeingia ubia katika
mradi huo wa uchumi wa viwanda chini ya Kampuni ya MKULAZI.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa(Mb) akiangalia mbegu za miwa kabla ya
kuzipanda katika eneo la Shamba la miwa alipowasili Gereza Mbigiri
katika ziara ya kikazi ya kukagua maandalizi ya kufufua Kiwanda cha
Sukari na Kilimo cha miwa katika Gereza la Mbigiri Mkoani Morogoro
Septemba 2, 2017. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,
Bunge, Ajira na Watu wenye ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama.
Shamba la miwa katika mradi wa Kiwanda
cha Sukari na Kilimo cha miwa – MKULAZI katika eneo la Gereza la Mbigiri
Mkoani Morogoro likiwa limestawi kama inavyoonekana katika picha.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akitoa hotuba fupi kwa Maafisa na askari
wa Jeshi la Magereza Mkoani Morogoro, Watendaji wa Kampuni ya MKULAZI
pamoja na Wananchi wanaoishi jirani na Gereza Mbigiri katika ziara ya
kikazi ya kukagua maandalizi ya kufufua Kiwanda cha Sukari na Kilimo cha
miwa katika Gereza la Mbigiri Mkoani Morogoro Septemba 2, 2017.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma
Malewa akitoa maelezo mafupi kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Kassim(hayupo pichani) namna Jeshi hilo lilivyojipanga
katika kuhakikisha kuwa ufufuaji wa Kiwanda cha Sukari na Kilimo cha
miwa katika Gereza la Mbigiri Mkoani Morogoro unakamilika kama
ilivyopangwa ambapo matarijio ni kuwa Kiwanda hicho kitakuwa na uwezo wa
kuzalisha sukari tani 50,000 kwa mwaka.
Baadhi ya Maafisa Waandamizi wa Jeshi la
Magereza pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Mkoani
Morogoro wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Kassim Majaliwa alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua maandalizi ya
kufufua Kiwanda cha Sukari na Kilimo cha miwa katika Gereza la Mbigiri
Mkoani Morogoro Septemba 2, 2017.
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof. Godius
Kyaharara akitoa maelezo mafupi kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua
maandalizi ya kufufua Kiwanda cha Sukari na Kilimo cha miwa katika
Gereza la Mbigiri Mkoani Morogoro Septemba 2, 2017.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma
Malewa(kushoto) akiteta jambo na Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage(kulia) mara baada ya ziara ya Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ambapo amekagua maandalizi ya kufufua Kiwanda
cha Sukari na Kilimo cha miwa katika Gereza la Mbigiri Mkoani Morogoro
Septemba 2, 2017.
Mkurugenzi Mkuu wa PPF William Erio
akitoa neno la shukurani mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua
maandalizi ya kufufua Kiwanda cha Sukari na Kilimo cha miwa katika
Gereza la Mbigiri Mkoani Morogoro Septemba 2, 2017.
Ujenzi wa maghala ya kuhifadhia sukari
katika mradi wa Kiwanda cha Sukari cha MKULAZI kilichopo Gereza Mbigiri
ukiendelea katika hatua mbalimbali kama inavyoonekana katika picha
Wataalam wazalendo ambao wanajitolea
katika ujenzi wa mradi wa Kiwanda cha Sukari – MKULAZI Mbigiri
wakitambulishwa mbele ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa(hayupo
pichani(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Maafisa Waandamizi wa PPF na NSSF wakifuatilia kwa makini hotuba ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa(hayupo pichani).
No comments:
Post a Comment