Thursday, August 17, 2017

VIDEO: TAZAMA MAANDALIZI YA IKUNGI ELIMU CUP 2017 SINGIDA

Uzinduzi wa ligi ya soka ya "Ikungi Elimu Cup 2017" unatarajia kufanyika kesho jumamosi Agosti 19,2017 katika wilaya ya Ikungi mkoani Singida. 

Fuatilia maandalizi ya ligi hiyo yenye lengo la kuhamasisha wananchi na wadau mbalimbali kushiriki kutatua changamoto za elimu na kuongeza ufaulu wilayani Ikungi.

No comments:

Post a Comment