12/08/2017 Mkoa wa Dodoma
Maadhimisho ya siku ya Vijana Kimataifa yamefanyika Leo katika viwanja wa Nyerere Square Dodoma. Mgeni rasmi Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu Sera uratibu Bungu Ajira Kazi Vijana na watu wenye ulemavu Mhe Jenista Muhagama.
Vijana mbali mbali wa mkoa wa Dodoma walijitokeza kwa wingi katika maadhimisho hayo yaliyopambwa na ngoja za utamaduni pamoja na maonyesho ya kazi za Vijana nchini.
Viongozi wengine waliohudhuria ni Naibu Waziri Antony Peter Mavunde, Muwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa, Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya za Dodoma.
Kauli mbiu ni "Ushiriki na Ushirikishwaji wa vijana kudumisha amani"
No comments:
Post a Comment