Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Rais wa Mashirika ya
Kipapa-Vatican, Mhashamu Baba Askofu Protas Rugambwa mara baada ya
kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya Sanamu ya Bikira
Maria wa Fatima kutoka kwa Rais wa Mashirika ya Kipapa-Vatican, Mhashamu
Baba Askofu Protas Rugambwa aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Rozali aliyopewa na Rais wa
Mashirika ya Kipapa-Vatican, Mhashamu Baba Askofu Protas Rugambwa
aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa
Mashirika ya Kipapa-Vatican, Mhashamu Baba Askofu Protas Rugambwa wapili
kutoka kushoto Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza na kumuaga mgeni wake
Rais wa Mashirika ya Kipapa-Vatican, Mhashamu Baba Askofu Protas
Rugambwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment