Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa
akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,Bodi ya
Mikopo ya Elimu ya Juu na Uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu
Mjini Unguja,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji, [Picha
na Ikulu.] 10 /08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa
akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,Bodi ya
Mikopo ya Elimu ya Juu na Uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu
Mjini Unguja,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji, [Picha
na Ikulu.] 10 /08/2017.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya
Elimu ya Juu Maalim Kombo Hassan Juma (kushoto) alipokuwa akitoa maelezo
na kuhusu Bodi yake wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo
katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani),ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Elimu na
Mafunzo ya Amali,Bodi hiyo na Uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya
Juu,wengine Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe.Said Hassan Saidi
(katikati) na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee, [Picha na
Ikulu.] 10 /08/2017.
Mkurugenzi wa Idara ya Mikopo ya
Elimu ya Juu puia Katibu wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Nd,Iddi
Khamis Haji alipokuwa akitoa taarifa ya Uongozi wa Wizara ya Bodi ya
Mikopo ya Elimu ya Juu wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo
katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) wengine (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya
Elimu ya Juu Maalim Kombo Hassan Jumaakifuatiwa na Mwanasheria Mkuu wa
Zanzibar Mhe.Said Hassan Saidi,[Picha na Ikulu.] 10/08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza
na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,Bodi ya Wakurugenzi
ya Baraza la Elimu na Uongozi wa Baraza la Elimukatika kikao cha siku
moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na
Ikulu.] 10/08/2017.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
ya Baraza la Elimu Bi.Sada Thani (kulia) alipokuwa akitoa taarifa yake
wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu
Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),ambacho
kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,Bodi hiyo na
Uongozi wa Baraza la Elimu,wengine ni Wajumbe wa Bodi,[Picha na Ikulu.]
10/08/2017.
Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya
Wakurugenzi ya Baraza la Mitihani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),
alipozungumza nao wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo
katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya
Elimu na Mafunzo ya Amali,Bodi hiyo na Uongozi wa Baraza la
Mitihani,[Picha na Ikulu.] 10/08/2017.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Amali Riziki Pembe Juma (wa pili kulia) alipokuwa kitoa mchango wake
wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu
Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) kikao
kilichojumuisha Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Elimu na Uongozi wa
Baraza la Elimu na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya
Amali,[Picha na Ikulu.] 10/08/2017.
No comments:
Post a Comment