Na PETRO MAGOTI
KATIBU WA Itikadi na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole aendelea na UWAJIBIKAJI katika Kuimarisha Chama baada ya Mkoa PWANI Leo ameingia Dodoma.
Ndg Polepole amekutana na VIJANA WASOMI Nchin KUWAPATIA ELIMU YA UONGOZI,Uadilifu na Uzalendo KWA Nchi na TAIFA Lao KWA Jumla
Ndg Polepole Ameelezea Umuhimu wa Kuwa VIJANA Wasomi ktk Taifa kubwa na linaloendelea kiuchumi wa Kati.
Darasa la ITIKADI KWA VIJANA WASOMI Nchin litakaa KWA Muda wa SIKU tatu kuanzia Leo hadi Jumapili Jioni.
No comments:
Post a Comment