Na; Ramadhani Shabani, Dodoma
Ndugu Mtanzania Ni Tumaini Langu Huu Mzima Wa Afya Na Unaendelea Vyema Kabisa Na Utekelezaji Wa Kauli Mbiu Yetu Ya Hapa Kazi Tu!Lakini Naimani Kabisa Katika Kusherehekea Sikukuu Hii Ya Eid Ni Imani Yangu Leo Wengi Tupo Na Familia Zetu Tunasherehekea Na Kushauriana Kwa Pamoja.
Ndugu Mtanzania Kama Ilivyokuwa Hada Yetu Ya Kukuletea Taarifa Mbalimbali Za Mambo Ambayo Yamekuwa Yakizungumzwa Na Waheshimiwa Wabunge Haswa Katika Kipindi Hichi Cha Mapumziko Ya Sikukuu Ya Eid Ambapo Waheshimiwa Mbalimbali Wametoa Salam Za Kuwatakia Watanzania Na Waislam Wote Nchini Heri Ya Eid.Sasa Miongoni Mwa Waheshimiwa Wabunge Waliotoa Salam Hizo Ni Pamoja Na Mhe Mbunge Wa Viti Maalum CCM Mkoa Wa Rukwa Ndugu *Bupe Nelson Mwakang'ata*
Akizungumza Kwa Njia Ya Simu Kwa Waandishi Wa Habari Kutoka Mkoani Rukwa Akiwa Dodoma Mhe Mbunge *Bupe Nelson Mwakang'ata* Alisema Nichukue Fursa Hii Kuwapongeza Waislam Wote Nchini Kwa Kumaliza Salama Kabisa Mfungo Wa Mwezi Mtukufu Wa Ramadhani,Lakini Pia Nichukue Fursa Hii Pia Kuwatakia Kheri Ya Sikukuu Ya Eid Waislam Wote Sambamba Na Watanzania Wengine.Lakini Pia Nichukue Hii Fursa Hii Kuwaomba Watanzania Wote Kudumisha Umoja Wetu Kwani Ndio Nguvu Yetu Pamoja Na Ilo Tukazane Kufanya Kazi Kwa Bidii Ili Tupate Kipato Halali Chetu Wenyewe.Mwisho Alisema Naomba Watanzania Tuungane Kwa Pamoja Kumuunga Mkono Mhe Rais Magufuli Ktk Juhudi Zake Za Kizalendo Za Kupambana Na Mabeberu Wachache Waliozoea Kuhujumu Taifa Letu.
Nawatakia Kheri Ya Sikukuu Na Mwenyezi Mungu Akawabariki Ninyi Watanzania Wote.
CCM Mpya Na Tanzania Mpya Inaanza Pamoja Na Viongozi Wetu Kuwathamini Wale Wanaowaongoza.
No comments:
Post a Comment