Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe Rukia Akhibu Muwango akizungumza na wadau waliojitokeza kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake Wilayani humo
Kongamano la maadhimisho ya siku ya wanawake Nachingwea 08/03/2017
katika ukumbi wa Mondrane Mess.
"Hakika ilikuwa ni muda mzuri wa
kufahamiana, kubadilishana mawazo, kuelimishana na kuburudika kwa
pamoja, Tumezungumza mambo mengi kwa mustakabali wa wananachingwea, Malezi
bora, masuala ya afya, kuinua ufaulu wa wanafunzi, mapambano dhidi ya
mihadarati, fursa za kiuchumi, kilimo na uwajibikaji kila mmoja kwa
nafasi yake hata hivyo Wanaume wametuunga mkono, wao ni sehemu yetu, waume
zetu, baba zetu, kaka zetu, jirani zetu, viongozi wetu hivyo sio rahisi
kuwatenga." Alisema Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe Rukia Akhibu Muwango
Pamoja tutashinda na inawezekana


No comments:
Post a Comment