Inaonyesha
kila kinachoendelea huwa kinamfikia Rais Magufuli ambapo leo kwenye
hotuba yake IKULU Dar es salaam ameongea kuhusu wale Mashabiki wa Yanga
walioonekana kulifutafuta vumbi gari la Mfanyabiashara Yusuph Manji
baada ya kuingia kuhojiwa Polisi kwenye sakata la dawa za kulevya.



No comments:
Post a Comment