Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana
(wa sita kulia) akishiriki kuswalia jeneza lenye mwili wa aliyekuwa
Mjumbe wa NEC, Mwalimu Ali Mbaga wakati wa mazishi yaliyofanyika leo Feb
8, 2017, katika kijiji cha Kighare, Usangi wilayani Mwanga mkoani
Kilimanjaro. Mbaga ni miongoni mwa viongozi wanne wa CCM, waliofariki
kwa ajali ya gari wakati wakitoka kwenye maadhimisho ya miaka 40 ya CCM
katika mkoa huo.(Picha na Bashir Nkoromo)
No comments:
Post a Comment