Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa amemshukuru Mbunge wa Viti Maluum CCM Mkoa wa Lindi
Amida Abdalah kwa kuchangia mabati miamoja kwa ajili ya ujenzi wa wodi
ya wazazi katika Hospitali ya wilaya ya Ruangwa katikati ni mke wa
Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na kulia ni mganga mkuu wa wilaya ya
Ruangwa Dr Japhet Simeo makabidhiano hayo yamefanyika katika Hospitali
Ruangwa. Picha na Chris Mfinanga
Mama
Majaliwa akiwasalimia wauguzi na wananchi walio jitokeza katika
makabiano ya mabati miamoja yaliyo tolewa na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa
wa Lindi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa ameongozana na Mkuu wa mkoa wa Lindi Godfrey Zambi na Mganga mkuu wa Hospitali ya Ruangwa Dr Japhet Simeo wakati waziri mkuu alipotembelea Hospitali ya Wilaya Ruangwa Mkoa wa Lindi.
No comments:
Post a Comment